ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa
na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa
baadhi ya maeneo ya ukanda wa Pwani ya bahari ya Hindi
(mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa
vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja
na Pemba).