ANGALIZO:
1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA NYANDA ZA JUU KUSINI MAGHARIBI (MIKOA YA
RUKWA, MBEYA, SONGWE, IRINGA NA NJOMBE), KUSINI MWA NCHI (MKOA WA RUVUMA) NA KUSINI MWA MKOA WA MOROGORO.
2. VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA PWANI YOTE YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, LINDI, MTWARA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.