24 Forecast
24 Forecast
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo.

