Utabiri wa Hali ya Hewa Kikanda
Mamlaka ina jukumu la kikanda la nchi zilizopo ukanda wa bonde la Ziwa Viktoria kutoa utabiri wa hali mbaya ya hewa na pia kuzipatia taarifa za utabiri wa hali ya hewa zitokanazo na mifumo ya kimahesabu ya utabiri ya kompyuta.
Utabiri wa Hali ya Hewa Kikanda

