Huduma Zetu
Huduma Zetu
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa utabiri wa hali ya hewa wa kila siku, takwimu, tafiti na huduma za ushauri. Huduma zetu ni muhimu katika kulinda maisha, miundombinu na mazingira ya nchi. Gundua namna tunavyoweza kukusaidia kusimamia hatari zinazohusiana na hali ya hewa na tabianchi, na pia kutambua fursa kwa shughuli zako za kila siku.

