"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Oct 28, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) na Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Oct 27, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 26.10.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote, kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Imewekwa: Oct 26, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 25.10.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote, kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.

Imewekwa: Oct 25, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote, kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.

Imewekwa: Oct 24, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.

Imewekwa: Oct 23, 2025