Sera ya Mfumo wa Ubora
Sera ya Mfumo wa Ubora
Sisi, wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tumedhamiria kutoa huduma bora za hali yahewa zinazokidhi au kuzidi matarajio ya wateja wetu na zinazozingatia miongozo ya kitaifa na kimataifailiyokubalika, kwa kuendelea kuboresha taratibu zetu za kazi’