Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

ISO 9001:2015 Imethibitishwa Kutoa Huduma za Hali ya Hewa kwenye Usafiri wa Anga

Downscale Forecast

Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2026 - Aprili, 2027) kwa Mkoa wa Tabora na Wilaya zake

Dondoo

  1. Mvua za Msimu, 2026/2027 zinatarajiwa kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño yenye nguvu kubwa.
  2. Kwa ujumla mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Tabora.
  3. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya nne ya mwezi Oktoba na ya kwanza ya mwezi Novemba, 2026.
  4. Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili na ya kwanza ya mwezi Mei, 2027.
  5. Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku 10 au zaidi hususan katika nusu ya pili ya msimu (Februari hadi Aprili 2027).

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua