Tahadhari

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa

saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2

limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa

pwani ya kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoa ya

Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya

Mafia), pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Soma zaidi

ANGALIZO:

MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI MWA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

Soma zaidi