Terms and Conditions
Tovuti hii ina taarifa za jumla kuhusu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Majukumu ya Mamlaka na Huduma tunazotoa kuhusiana na Masuala ya Hali ya Hewa nchini Tanzania. Haya ni masharti ya matumizi kwa tovuti hii. Ukiendelea kutumia tovuti hii inathibitisha kukubali vigezo hivi.