Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2008 Certified in Aviation Meteorological Services

Dr. Agnes Lawrence Kijazi

Mkurugenzi Mkuu

Tanzania Meteorological Agency

Karibu kwenye Tovuti yetu

Welcome to Tanzania Meteorological Agency official website where you can get the most credible, precise and timely meteorological information, products and services that are important for planning of various socio-economical activities. Thank you for visiting our website.

Read More

All

4th September 2017 More

UTABIRI WA MSIMU WA OKTOBA – DISEMBA 2017 (VULI) KWA TANZANIA Tembelea http://meteotz1950.blogspot.com/ kwa picha zaidi na taarifa

4th September 2017 More

Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma kwa shirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na Chuo Kikuu cha Dar es Salaa, kimefanikisha uendeshwaji wa kozi ya hali ya hewa kwenye usafiri wa anga ya mwezi mmoja na kukamilishwa na mahafali ya tano tarehe 31 Agosti 2017.

31st August 2017 More

TMA YAWAPIGA MSASA WANAHABARI KATIKA MAANDALIZI YA MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA OKTOBA- DESEMBA 2017, MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TMA, TAREHE 30 AGOSTI 2017

30th August 2017 More

WAJUMBE WA KAMATI YA ARDHI NA MAWASILIANO WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR WASIFU KAZI NZURI INAYOFANYWA NA TMA KATIKA KUTOA HUDUMA ZA HALI YA HEWA ZANZIBAR.

All

30th March 2016More

Uongozi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na wawakilishi wa wafanyakazi wamekutana katika Mkutano BARAZA la Wafanyakazi 2016 na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mafanikio na changamoto zinazoikabili Mamlaka na kujadiliana njia muafaka za kutat...

Tahadhari, Ushauri na Taarifa

18th September 2017 - Advisory

Kwa Tarehe 19/09/2017 Kuna Angalizo la Matarajio ya kuwepo kwa vipindi vifupi vya Mvua kubwa katika mwambao wa Pwani ya Mkoa wa Tanga na Visiwa vya Pemba na Unguja

Weather by Region

© 2017 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.