Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Dr. Agnes Lawrence Kijazi

Mkurugenzi Mkuu

Tanzania Meteorological Agency

Karibu kwenye Tovuti yetu

Welcome to Tanzania Meteorological Agency official website where you can get the most credible, precise and timely meteorological information, products and services that are important for planning of various socio-economical activities. Thank you for visiting our website.

Read More

All

19th August 2019 More

MCHANGO NA USHIRIKI WA MAMLAKA YA HALI YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) KATIKA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA (SADC) NA FAIDA ZINAZOPATIKANA KWA TAIFA KUPITIA SADC

14th August 2019 More

TANZANIA YAPOKEA UENYEKITI WA KAMATI YA SEKTA NDOGO YA HALI YA HEWA NA KUCHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA UMOJA WA TAASISI ZA HALI YA HEWA ZA NCHI ZA SADC

12th August 2019 More

SALAMU ZA POLE

8th August 2019 More

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA APONGEZA USAHIHI WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

All

18th July 2019More

Awareness event on highway project to support lake Victoria socio economic activities

23rd March 2019More

Katika kuadhimisha siku hii kwa mwaka 2019, TMA itatoa elimu kwa jamii hususan kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na wananchi kwa ujumla kupitia vyombo vya habari na kufundisha mashuleni na pia kuelimisha watakaotembelea vituo vya hali ya hewa.

Kauli mbiu y...

Tahadhari, Ushauri na Taarifa

22nd August 2019 - warning

TAHADHARI: Vipindi vifupi vya upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa vinatarajiwa katika ukanda wa Pwani yote.

ANGALIZO: Vipindi vifupi vya upepo mkali unaofikia km 40 kwa saa vinatarajiwa katika maeneo ya ziwa Tanganyika.


22nd August 2019 - warning

Utabiri wa Hali ya hewa wa siku tano na athari zinazoweza kutokea, umetolewa leo tarehe 22/08/2019.

Weather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.