Albamu ya Video
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 07-04-2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, MOROGORO, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA, KAGERA, GEITA, MWANZA, MARA, SIMIYU, SHINYANGA, KIGOMA, TABORA NA KATAVI PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 07, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 06.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 06.04.2024, unawasillishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Apr 06, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 05.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 05.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: Apr 05, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 04.04.2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA LINDI, MTWARA NA PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA)
Imewekwa: Apr 04, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 03-04-2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI ( IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 03, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 02.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 02.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: Apr 02, 2024