"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA 22.04.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 22.04.2024 unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.

Imewekwa: Apr 22, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 21.04.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 21.04.2024 unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.

Imewekwa: Apr 21, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 20-04-2024

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi yamaeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga,Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: Apr 20, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 19.04.2024

ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI(IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA. 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

Imewekwa: Apr 19, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 19-04-2024

ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA. 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

Imewekwa: Apr 19, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 18.04.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 18.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.

Imewekwa: Apr 18, 2024