"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA 13.07.2024

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Jul 13, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 12.07.2024

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM NA PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Jul 12, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 11.07.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 11.07.2024, unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.

Imewekwa: Jul 11, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 10.07.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 10.07.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Jul 10, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 09.07.2024

HAKUNA TAHADHARI

Imewekwa: Jul 09, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 07.07.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 07.07.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamisi.

Imewekwa: Jul 07, 2024