Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 20.05.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 20.05.2024 unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: May 20, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 18.05.2024
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa Pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: May 18, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 15.05.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 15.05.2024, unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.
Imewekwa: May 15, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 14/05/2024.
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa Pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: May 14, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 13.05.2024
ANGALIZO VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: May 13, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 11.05.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 11.05.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: May 11, 2024