"

Albamu ya Video

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa Pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 30, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 30/05/2024.

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa Pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 30, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 29/05/2024.

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa Pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 29, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 28.05.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, 28.05.2024, unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay

Imewekwa: May 28, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 27.05.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 27/05/2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.

Imewekwa: May 27, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 26.05.2024

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa Pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 26, 2024