"

Albamu ya Video

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 11-10-2024

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Imewekwa: Oct 11, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 10-10-2024

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Imewekwa: Oct 10, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA 08.10.2024

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote.

Imewekwa: Oct 08, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 07-10-2024

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Imewekwa: Oct 07, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 06-10-2024

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Imewekwa: Oct 06, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 05/10/2024. [

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani yote ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba na ukanda wa ziwa Nyasa (mikoa ya Mbeya, Njombe na Ruvuma).

Imewekwa: Oct 05, 2024