Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 17.10.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 17.10.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Oct 17, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 16.10.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 16.10.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.
Imewekwa: Oct 16, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 15-010-2024
Utabiri wa hali ya hewa
Imewekwa: Oct 15, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 14-10-2024
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
Imewekwa: Oct 14, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 13/10/2024. [
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani yote: kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Imewekwa: Oct 13, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 12-10-2024
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Imewekwa: Oct 12, 2024
