"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 30.06.2024

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2,VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Jun 30, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 29.06.2024

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba)

Imewekwa: Jun 30, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 27.06.2024

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA), MWAMBAO WA ZIWA VICTORIA (MIKOA YA MWANZA, MARA, SIMIYU, GEITA NA KAGERA) NA MWAMBAO WA KUSINI MWA ZIWA TANGANYIKA (MIKOA YA RUKWA NA KATAVI).

Imewekwa: Jun 27, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 26-06-2024

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia),Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), ukanda wa ziwa Victoria (mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara na Simiyu), ukanda wa ziwa Tanganyika (mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa) na ziwa Nyasa (mikoa ya Mbeya, Njombe na Ruvuma)

Imewekwa: Jun 26, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 25.06.2024

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA), MWAMBAO WA ZIWA VICTORIA (MIKOA YA MWANZA, MARA, SIMIYU, GEITA NA KAGERA) NA MWAMBAO WA KUSINI MWA ZIWA TANGANYIKA (MIKOA YA RUKWA NA KATAVI).

Imewekwa: Jun 25, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 24.06.2024

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA) NA UKANDA WA ZIWA VICTORIA (MIKOA YA MWANZA, MARA, SIMIYU, GEITA NA KAGERA).

Imewekwa: Jun 24, 2024