"

Albamu ya Video

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 21-07-2024

HAKUNA TAHADHARI.

Imewekwa: Jul 21, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 20.07.2024

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 30 kwa saa kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote.

Imewekwa: Jul 20, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 19.07.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 19.07.2024, unawasilishwa na mchambuzi Rebecca Luhitana.

Imewekwa: Jul 19, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 18.07.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 18.07.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.

Imewekwa: Jul 18, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 17-07-2024

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi, Mtwara, pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba

Imewekwa: Jul 17, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 16-07-2024

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: Jul 16, 2024