Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 07.08.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 07.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.
Imewekwa: Aug 07, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 06/08/2024.
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 30 kwa saa kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote.
Imewekwa: Aug 06, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 05/08/2024.
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 20 kwa saa kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini na kwa kasi ya Km 30 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini.
Imewekwa: Aug 05, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 04.08.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 04.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamis.
Imewekwa: Aug 04, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 03.08.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 03.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Mosses.
Imewekwa: Aug 03, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 02/08/2024.
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa kusini mwa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara).
Imewekwa: Aug 02, 2024