"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 22/08/2024.

ANGALIZO: MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2 YANATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Aug 22, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 20.08.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 20.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.

Imewekwa: Aug 20, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 19.08.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 19.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.

Imewekwa: Aug 19, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 18/08/2024.

ANGALIZO: VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KUSINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA LINDI NA MTWARA).

Imewekwa: Aug 18, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 16.08.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 16.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Rebeca Luhitana.

Imewekwa: Aug 16, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 15.08.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 15.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamis.

Imewekwa: Aug 15, 2024