Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 08.09.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 09.09.2024, unawasilishwa na mchambuzi Rebeca Luhitana.
Imewekwa: Sep 08, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 06.09.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 06.09.2024 unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.
Imewekwa: Sep 06, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 05/09/2024.
HAKUNA TAHADHARI YOYOTE KWA SIKU YA LEO.
Imewekwa: Sep 05, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 04.09.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 04.09.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.
Imewekwa: Sep 04, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 03/09/2024.
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: Sep 03, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 02/09/2024.
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba) na ukanda wa ziwa Nyasa (mikoa ya Mbeya, Njombe na Ruvuma).
Imewekwa: Sep 02, 2024