"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA 01.09.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 01.09.2024 unawasilishwa na mchambuzi Rebeca Luhitana.

Imewekwa: Sep 01, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 31.08.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 31.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.

Imewekwa: Aug 31, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 31.08.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 31.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.

Imewekwa: Aug 31, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 30/08/2024.

ANGALIZO la mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini mwa bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: Aug 30, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 29/08/2024.

ANGALIZO: VIPINDI VYA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Aug 29, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 28.08.2024

ANGALIZO la mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: Aug 29, 2024