Albamu ya Video
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 14/08/2024.
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote: kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Imewekwa: Aug 14, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 12.08.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 12.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Rebeca Luhitana.
Imewekwa: Aug 12, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 11.08.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 11.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Rebeca Luhitana.
Imewekwa: Aug 11, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 10/08/2024.
HAKUNA TAHADHARI
Imewekwa: Aug 10, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 09/08/2024.
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote; kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Imewekwa: Aug 09, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 07.08.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 07.08.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses
Imewekwa: Aug 07, 2024