Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 11.06.2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA)
Imewekwa: Jun 11, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 10.06.2024
TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOZIDI KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2, IMETOLEWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI(MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA) ANGALIZO: UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 LIMETOLEWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA KUSINI MWA ZIWA TANGANYIKA (MIKOA YA KATAVI NA RUKWA) NA UKANDA WA ZIWA NYASA (MIKOA YA MBEYA, NJOMBE NA RUVUMA)
Imewekwa: Jun 10, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 09.06.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 09.06.2024, unawasilishwa na mchambuzi Amina Salehe.
Imewekwa: Jun 09, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 08.06.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 08.06.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Jun 08, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 07.06.2024
ANGALIZO VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Jun 07, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 06-06-2024
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini Kwa kasi ya Km 30 kwa saa na kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya Km 20 kwa saa.
Imewekwa: Jun 06, 2024