Albamu ya Video
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 10/05/2024.
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa Pwani ya Kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: May 10, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 10/05/2024.
Matarajio kwa siku ya Jumapili Tarehe 12/05/2024: Mabadiliko Kidogo.
Imewekwa: May 10, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 09/05/2024.
ANGALIZO VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: May 09, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 08.05.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 08.05.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: May 08, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 07.05.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 07.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.
Imewekwa: May 07, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 06-05-2024
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saana mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba)
Imewekwa: May 06, 2024