"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA 06.07.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 06.07.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.

Imewekwa: Jul 06, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 05.07.2024

HAKUNA TAHADHARI.

Imewekwa: Jul 05, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 04.06.2024

HALI YA UBARIDI NA VIPINDI VYA JUA.

Imewekwa: Jul 04, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 03.07.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 03.07.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamisi.

Imewekwa: Jul 03, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 02.07.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 02.07.2024, unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.

Imewekwa: Jul 02, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 30.06.2024

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2,VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI NA MTWARA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Jun 30, 2024