"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA 11.04.2024

HAKUNA TAHADHARI YOYOTE KWA SIKU YA LEO.

Imewekwa: Apr 12, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 11.04.2024

HAKUNA TAHADHARI YOYOTE KWA SIKU YA LEO.

Imewekwa: Apr 12, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 11-04-2024

ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MOROGORO, NJOMBE, RUVUMA, LINDI NA MTWARA. 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KASI YA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA PWANI YA KUSINI YA BAHARI YA HINDI YA MIKOA YA LINDI NA MTWARA.

Imewekwa: Apr 11, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 10.04.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 10.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.

Imewekwa: Apr 10, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 09.04.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 09.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.

Imewekwa: Apr 09, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 08.04.2024

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache ya Mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi, Mtwara, Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Shinyanga, Arusha and Manyara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Apr 08, 2024