"

Albamu ya Video

Utabiri wa Hali ya hewa 04/06/2024

Utabiri wa Hali ya hewa 04/06/2024

Imewekwa: Jun 04, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 03.06.2024

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini na kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini.

Imewekwa: Jun 03, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 02/06/2024.

Mvua zitakazoambatana na ngurumo za radi zinatarajiwa katika mkoa wa Kagera.

Imewekwa: Jun 02, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 01.06.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 01.06.2024 unawasilishwa na mchambuzi Dessdery Moses.

Imewekwa: Jun 01, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 31.05.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saaa 3:00 usiku 31.05.2024 unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.

Imewekwa: May 31, 2024

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa Pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 30, 2024