Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 24.03.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, 24.03.2024 unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Mar 24, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 22.03.2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI(IKIJUMLISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Mar 22, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 21.03.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, 21.03.2024 unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.
Imewekwa: Mar 21, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 19-03-2024
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache ya Mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Iringa, Njombe, Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Imewekwa: Mar 19, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 18-03-2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Mar 18, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 17.03.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, 17.03.2024 unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Mar 17, 2024