"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 09/05/2024.

ANGALIZO VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKA MITA 2, VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: May 09, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 08.05.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 08.05.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.

Imewekwa: May 08, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 07.05.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 07.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: May 07, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 06-05-2024

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saana mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba)

Imewekwa: May 06, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA 05.05.2024

TAHADHARI ya mvua kubwa imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na kisiwa cha Unguja. UWEZEKANO WA KUTOKEA: MKUBWA KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI

Imewekwa: May 05, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 02/05/2024.

TAHADHARI ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 02, 2024