Albamu ya Video
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 01/05/2024.
TAHADHARI ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: May 01, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 30.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 30.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: Apr 30, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 29.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 29.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.
Imewekwa: Apr 29, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 28-04-2024
TAHADHARI ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: Apr 28, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 27/04/2024.
TAHADHARI ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba) na ukanda wa ziwa Nyasa (Mikoa ya Songwe, Njombe na Ruvuma).
Imewekwa: Apr 27, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 26.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 26.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Apr 26, 2024