Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 25.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 25.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: Apr 25, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 24/04/2024.
ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA WA DAR ES SALAAM, MOROGORO, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA. 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 24, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 23.04.2024
ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA WA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA. 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 23, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 22.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 22.04.2024 unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: Apr 22, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 21.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 21.04.2024 unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Apr 21, 2024