Albamu ya Video
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 20-04-2024
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi yamaeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga,Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: Apr 20, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 19.04.2024
ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI(IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA. 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 19, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 19-04-2024
ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA. 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 19, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 18.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 18.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.
Imewekwa: Apr 18, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 17.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 17.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: Apr 17, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 16-04-2024
ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, MOROGORO, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA
Imewekwa: Apr 16, 2024