Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 05.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 05.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: Apr 05, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 04.04.2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA LINDI, MTWARA NA PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA)
Imewekwa: Apr 04, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 03-04-2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI ( IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 03, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 02.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 02.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: Apr 02, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 01.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 01.03.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Apr 01, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 31-03-2024
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache ya Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe na Kusini mwa mkoa wa Morogoro.
Imewekwa: Mar 31, 2024