"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA 21.03.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, 21.03.2024 unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.

Imewekwa: Mar 21, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 19-03-2024

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache ya Mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Iringa, Njombe, Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Mar 19, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 18-03-2024

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

Imewekwa: Mar 18, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 17.03.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, 17.03.2024 unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.

Imewekwa: Mar 17, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 16.03.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, tarehe 16.03.2024 unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.

Imewekwa: Mar 16, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 14.03.2024

Matarajio kwa siku ya Jumamosi Tarehe 16/03/2024: Mabadiliko kidogo.

Imewekwa: Mar 15, 2024