Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 28.02.2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA NJOMBE NA RUVUMA.
Imewekwa: Feb 28, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 27-02-2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA KILIMANJARO, ARUSHA, MANYARA, DODOMA, NJOMBE, RUVUMA, IRINGA NA KUSINI MWA MOROGORO.
Imewekwa: Feb 27, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 26.02.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasillishwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: Feb 26, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 25.02.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Feb 25, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 24-02-2024
Matarajio kwa siku ya Jumatatu Tarehe 26/02/2024: Mabadiliko kidogo.
Imewekwa: Feb 24, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 23-02-2024
Matarajio kwa siku ya Jumapili Tarehe 25/02/2024: Mabadiliko kidogo.
Imewekwa: Feb 23, 2024