Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 14.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 14.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Apr 14, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 13.04.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 13.04.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Apr 13, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 12.04.2024
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache ya Mikoa ya Morogoro, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara. ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kusini ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara).
Imewekwa: Apr 12, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 11.04.2024
HAKUNA TAHADHARI YOYOTE KWA SIKU YA LEO.
Imewekwa: Apr 12, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 11.04.2024
HAKUNA TAHADHARI YOYOTE KWA SIKU YA LEO.
Imewekwa: Apr 12, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 11-04-2024
ANGALIZO: 1. VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MOROGORO, NJOMBE, RUVUMA, LINDI NA MTWARA. 2. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KASI YA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA PWANI YA KUSINI YA BAHARI YA HINDI YA MIKOA YA LINDI NA MTWARA.
Imewekwa: Apr 11, 2024
