"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA 24.05.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 24.05.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.

Imewekwa: May 24, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 24.05.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 24.05.2024, unawasilishwa na mchambuzi Amina Salehe.

Imewekwa: May 23, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 22/05/2024.

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa Pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 22, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 21/05/2024.

TAHADHARI ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 21, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 20.05.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 20.05.2024 unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.

Imewekwa: May 20, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 18.05.2024

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa Pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: May 18, 2024