Albamu ya Video
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 06/12/2024.
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote.
Imewekwa: Dec 06, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 06/12/2024.
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote.
Imewekwa: Dec 06, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 05/12/2024.
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Nyanda za juu Kusini Magharibi (mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe), Kanda ya Kati (mikoa ya Dodoma na Singida) na Magharibi mwa nchi (mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora).
Imewekwa: Dec 05, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 04.12.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 04.12.2024., unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: Dec 04, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 03-12-2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 03.12.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.
Imewekwa: Dec 03, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 02/12/2024.
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Nyanda za juu Kusini Magharibi (mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe) na maeneo ya Magharibi mwa nchi (mikoa ya Katavi na Tabora).
Imewekwa: Dec 02, 2024