Albamu ya Video
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 12.03.2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Nyanda za juu kaskazini mashariki (Mikoa ya Arusha Manyara na Kilimanjaro) na Pwani ya kusini (Mikoa ya Lindi na Mtwara).
Imewekwa: Mar 12, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 11.03.2025
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA MTWARA, LINDI, ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA.
Imewekwa: Mar 11, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 10.03.2025
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 10.03.2025 unaletwa kwenu na Mchambuzi wa Hali ya Hewa; Mohamed Hamisi.
Imewekwa: Mar 11, 2025
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 09-03-2025
Utabiri wa halinya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.
Imewekwa: Mar 09, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 08.03.2025
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA TABORA, KIGOMA, KATAVI, SINGIDA, DODOMA, SIMIYU, MARA, ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA.
Imewekwa: Mar 08, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 07.03.2025
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.
Imewekwa: Mar 07, 2025
