"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA 25.11.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 25.11.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Nov 25, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 23/11/2024.

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya ukanda wa Ziwa Viktoria (Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Mara na Simiyu) na Maeneo ya Magharibi mwa nchi yetu (Mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi).

Imewekwa: Nov 23, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 22.11.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 22.11.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Nov 22, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 21.11.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 21.11.2024, unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.

Imewekwa: Nov 21, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 20/11/2024.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kusin .

Imewekwa: Nov 20, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 19.11.2024

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 30 kwa saa kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya Km 20 kwa saa kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Nov 19, 2024