Albamu ya Video
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 12-12-2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 12.12.2024, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: Dec 12, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 11.12.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 11.12.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.
Imewekwa: Dec 11, 2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 10/12/2024.
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini mwa bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki (Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara), Kati mwa nchi (Mikoa ya Singida na Dodoma), Magharibi mwa nchi (Mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi) na Nyanda za Juu Kusini magharibi (Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa na Njombe).
Imewekwa: Dec 10, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 09-12-2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI MWA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, MOROGORO, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Dec 09, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 08-12-2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 08.12.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariaam Phares.
Imewekwa: Dec 08, 2024