Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 14.04.2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Morogoro, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Imewekwa: Apr 14, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 13/04/2025.
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA LINDI, MTWARA, MOROGORO, DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 12, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 12/04/2025.
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA KAGERA, GEITA, MWANZA, SHINYANGA, MARA NA SIMIYU.
Imewekwa: Apr 11, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA KUANZIA SAA 3 KAMILI LEO USIKU 12.04.2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara.
Imewekwa: Apr 11, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 11.04.2025
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Morogoro, Tanga, Dar es salaam, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tabora, Kigoma, Katavi, Lindi, Mtwara na Pwani(ikijumuisha Visiwa vya Mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
Imewekwa: Apr 10, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 10.04.2025
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Katavi, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Imewekwa: Apr 09, 2025
