"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 07.03.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.

Imewekwa: Mar 07, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 06-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Mar 06, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 05-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 05.03.2025, unawasilishwa na mchambuzi Ramadhani Omary.

Imewekwa: Mar 05, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 04.03.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote. Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kusini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini.

Imewekwa: Mar 04, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 03.03.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote. Kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini na kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini.

Imewekwa: Mar 03, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 02.02.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Mar 03, 2025