"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoj

Imewekwa: May 13, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua katika mikoa ya Tanga, Mororgoro, Dar es salaam, Pwani( ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: May 12, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 11/05/2025.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: May 11, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 10/05/2025.

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA LINDI NA MTWARA.

Imewekwa: May 10, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Morogoro na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: May 09, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

1. ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. 2. ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). .

Imewekwa: May 08, 2025