"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 19.03.2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA RUKWA, KIGOMA, KATAVI, TABORA, BUKOBA, MUSOMA, GEITA, MWANZA, SHINYANGA NA SIMIYU.

Imewekwa: Mar 19, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 18-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 18.03.2025, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Mar 18, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 17-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Mar 17, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 16.03.2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA ARUSHA, MANYARA NA KILIMANJARO.

Imewekwa: Mar 16, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 15.03.2025

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma na Morogoro.

Imewekwa: Mar 15, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 14-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamis.

Imewekwa: Mar 14, 2025