"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE:31/03/2025

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro Ruvuma, Lindi na Mtwara.

Imewekwa: Mar 31, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi km 20 kwa saa kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.

Imewekwa: Mar 28, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Mara, Geita, Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Singida, Dodoma, Tabora, Tanga, Dar salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Mar 27, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Mara, Geita, Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Singida, Dodoma, Tabora, Tanga, Dar salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba

Imewekwa: Mar 27, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 26.03.2025

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Mara, Simiyu, Mwanza na Shinyanga.

Imewekwa: Mar 26, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 25.03.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote. Kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.

Imewekwa: Mar 25, 2025